House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


INAKUA WAZI MWISHO WA MWEZI HUU
#KIMARA_MWISHO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
#KODI NI 200,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI 5,6
#APARTMENT 2 TU KWENYE FENSI NA KILA MOJA INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE MAJI MITA YAKE DAWASA YANAFLOW NDAN
SIFA ZAKE
#########
#CHUMBA MASTER KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO ZURI KUBWA
#PUBLIC TOILET NZURI YA NJE KILA MMOJA YAKE
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI NDAN YA FENS PARKING IPO KUBWA PERVING BLOCK SAFI MAZINGIRA MAZURI MNOO
#SERVICER_CHARGER_15000 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
CONTACT
#0712348316WhatsAp
#0769680796 whtsp