House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam
350,000 MBEZI KWA MSUGURI
◇◇◇◇◇◇
STAND ALONE KUBWA NZURI YA KIFAMILIA INAPANGISHWA MBEZI KWAMSUGURI #350K
===
Vyumba 3 vyakulala Vyumba 2 ni master bedroom
sebule kubwa san
jiko kubwa lenye makabati s na public toilet
===
Kodi 350,000 Kwa mwezi × 6
===
Umbali KM 2, bajaji 700 boda 1500
===
Inajitegemea umeme na maji
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
- Agent's commission ni Kodi ya mwezi mmoja
===
0716223412
0683597453