House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT MPYA INAPANGISHWA MBEZI LUGURUNI #350๐
===
Vyumba 2 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule kubwa Sana jiko kubwa na public toilet
===
Kodi 350,000 Kwa mwezi ร 6
===
Umbali KM 2 Usafiri bodaboda 1000
====
Apartment ya juu ndo ipo wazi, inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni na jikon
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
===
0679062127