House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 300,000/= X 6
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#IPO NDANI YA FENSI NZURI YA WAYA WA UMEME ILA HAULAZI GARI
‼️ HAKUNA SEHEMU YA KUPAKI GARI
#ZIPO APARTMENT 4 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
BEI NI 300,000/= X 6
🏘️ APARTMENT HII IPO MBEZI KWA MSUGURI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI NJIA ILIYOWEKWA LAMI NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.5 USAFIRI NI BAJAJI NA NJIA YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
💥 IPO WAZI TAYARI NA MAFUNDI WAMISHA IFANYIA UKARABATI NI YA KUHAMIA TUU
0713320608
0686334182