House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam
NYUMBA INAPANGISHWA
STAND ALONE
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI:
MBEZI BEACHI TANKI BOVU
UMBALI: DAKIKA 5 TU KWA MIGUU KUTOKA LAMI HADI KWA NYUMBA
______________
KODI 600,000/= tsh KWA MWEZI
_________________
MALIPO YA MIEZI 6
________________
_____________
HIZI NI NZURI
_______
YENYE:-
Vyumba 2 vya kulala #KIMOJA ni Masta Na #Sebule #Dinning #Jiko zuri kubwa lenye #makabati Na #Stoo #Choo/#Bafu vya ndani public
#Gypsum #Tiles
#Umeme upo wa #Luku yake
#Maji yapo ya #bomba #24hrs
Cars #Parking Space ipo kubwa
Nje #Pavingblocks
#FencedApartment
SERVICE CHARGE YA KUONYESHWA NYUMBA NI 20K
____________
Call
๐ฒ 0766596981๐ถ
๐ณ0766596981 ๐ถ ya WhatsApp