House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


(170,000 × 6) MBEZI NYUMA YA STAND YA MKOA MAGUFULI STAND
APARTIMENT KALI SANA MPYAA KABISA ZINAPANGISHWA MBEZI MWISHO NYUMA YA STAND YA MAGUFULI
<<<<<<<<<<<<<<<<<<
ZIPO MBEZI STANDI YA MKOA MAGUFULI
UMBALI KUTOKA STAND NI km 1.5 BODABODA 1000 - 1500
========
SIFA ZA NYUMBA
CHUMBA MASTA KUBWA SANA
SEBULE KUBWA SANA
JIKO NDANI
UMEME INAJITEGEMEA NA MAJI DAWASA
=========
ZIPO NNE TUU KWENYE FENSI
KODI 170,000/= × 6
KUONA NYUMBA 15,000
MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA
=========
Contact:
0654101710
0787205300