House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







(250,000X6) NA (200,000X6)MBEZI KWA MIGUU DK 7 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
250,000 A) APRTMENT NZURI MPYA YA KISASA INAPANGISHWA
INA CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKO UMEME NA MAJI INAJITEGEMEA
KODI:(250,000X6)
B)200,000 CHUMBA MASTER SEBULE NO JIKO UMEME NA MAJI INAJITEGEMEA
IPO NDANI YA FENCE LOCATION MBEZI KWA MSUGURI UMBALI DAKIKA7) ZAKUTEMBEA KWA MIGUU
TOKA MOROGORO ROAD PIA USAFIRI UPO WAKUTOSHA
BAJAJI🛺500
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KUPELEKWA SITE ELF 15
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMLIPA DALALI KODI YA MWEZI
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0618976024



















