House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







APARTIMEMT INAPANGISHWA IPO SUCA KULIA KAMA UNAELEKEA MBEZI DK 9 KUTEMBEA
MUUNDO
CHUMBA KIKUBWA SEBULE KUBWA SANA JIKO KUBWA OPEN KICHEN NA PABLICK TOILET
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
INATAILIZY GYUPUSAM ALUMINIUM
NYUMBA AIPO NDANI YA FENSI , USALAMA WAKUTOSHA
KODI 250,000 × 6
KUONA NYUMBA 15000
UTAMLIPA DALALI KODI YAMWEZI
CONTACT US 0688 067 289