House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


CLASSIC APARTMENT FOR RENT:
5 master bedrooms
full furnished
tunawapangisha wageni kutoka nje ya nchi au mikoani au wenyeji wa Dar
chumba kimoja kwa siku ni sh 50000/=
malipo ni unachagua wewe kama unataka kukaa wiki moja,wiki mbili au mwezi mmoja au miezi miwili na kuendelea
au kama mpo wengi mnataka kuchukua vyumba vyote vitano ni sawa tu tutaelewana
huduma zote muhimu zipo ndani ya apartment karibuni sana
location MBEZI BEACH
ulinzi upo wa kutosha
0712265331 call/whatsap