House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
๐ฃ Inapangishwa #MBEZI KIBANDA CHA MKAA
๐ Kodi 200,000/= *6
___
________
โข Jiko Kubwa zur lenye makabati
โข Sebule
โข Chumba Master
#Umbali dakika 15 Kwa miguu Kutoka Morogoro Road
* Nyumba hizi hazina Fensi kabisa Ila usalama ni kutosha kabisa Asilimia 100%
____
#Malipo ya dalali Nasoni ni Tsh 200,000/=
#Kupelekwa Kuona ni Tsh 15,000/=
โ:- 0753172516