House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT ZINA PANGISHWA MBEZI KWA MSUGURI KM2 KUTOKA LAMI
-------
Chumba master
Seble kubwa
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Public toilet
Slide window
Luku yako
Maji yana flow
Electronic fence
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
---------
Service charge 15,000/=
Kodi 200,000/=ร6
----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 2
-----------
Contact
#0676_218580(WhatsApp)
#0693_673010
#DALALI_BIG_KIMARA๐น๐ฟ
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT ๐น๐ฟ
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA ๐