House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


STAND ALONE YA NGUVU INAPANGISHWA MBEZI KWA MSUGURI
SIFA ZAKE
INAVYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJA MASTER
JIKO
STORE
PUBLIC TOILET NDANI
UMEME NA MAJI UNAJITEGEMEA
NYUMMBA IPO NDANI YA FENCE INAJITEGEMEA YANYEWE
BEI NI 300,000/=X6
======================
ILIPWE LAKI TATU KODI YA MIEZI SITA
KUTOKA MOROGORO ROUD KM 1,7 USAFILI UPO WA BAJAJI 700
BODA 1000
UKIISHUKA KWENYE BAJAJI UNTEMBEA DAJIKA 3 UMEFIKA
BARABARA SAFI NI LAMI YA ZEGE
KUJAKUONA NYUMBA NI ELFU 15 UKIIPENDA UTAMLIPA DALALI PESA YA MWEZI MMOJA
==============
CALL 0683234124
0718367179