House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA MBEZI ST. JOSEPH #180k
Chumba Cha kulala
Sebule
Choo ndani master
Jiko kubwa zuri la kisasa
Bei:180,000 kwa mwezi x 3
Inajitegemea umeme na Maji,ndani ya fence parking ipo ya kutosha
Umbali KM 1 dakika 15 Kwa mguu
Kupelekwa kuona Nyumba elfu 15
⬇️
Simu/06 59 33 67 51
⬇️
Wsp/07 86 08 56 37