House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


APARTIMENT INAPANGISHWA IPO TEMBONI KULIA KAMA UNAELEKEA MBEZI UMBALI KM / 1 BODA BUKU
INACHUMBA MASTAR  SEBULE NA KIBARAZA
INA TAILIZY GYUPUSAM ALUMINIUM
IPO NDANI YA FENSI
MAJI YANAFLWOOR CHOONI UMEME SAB METER WANNE
KODI 150 X 4 LAKI NA AMSINI  MIEZI MINNE 
Service charge elfu 15. Ukilipia nyumba ni kodi ya mwezi mmoja malipo ya dalali 
# Simu 0757 404087




















