House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


(300,000 × 6) MBEZI KWA MSUGURI
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA NA ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 26/03/2024 KUONA NA KUFANYA MALIPO NI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#SEBULE YA WASTANI
#HAKUNA MASTER BEDROOM
#JIKO KUBWA
#CHOO KIZURI CHA NDANI KWA NDANI (PUBLIC TOILET)
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
BEI NI 300K X 6
ILIPWE LAKI 3 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
🏘️ APARTMENT HII IPO MBEZI KWA MSUGURI
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BODABODA
🎤 APARTMENT HII ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 26/03/2024 KUONA NA KUFANYA MALIPO NI RUKSA
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya dalali ni Mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300