House for Rent at Mburahati, Dar Es Salaam


NYUMBA INAUZWA IPO MBURAHAT
INATIZAMANA NA SHEL YA SIMBA OIL
JIRANI NA KITUO KIKUBWA CHA POLICE CHA MBURAHATI.
NYUMBA IPO KIBIASHARA ZAID
INATIZAMA LAMI
INA TITLE DID SQM 361
MBELE INA FREM ZA MADUKA 8 NA ZOTE ZINA WAPANGAJI.
FREM MOJA NI 100,000 KWA MWEZI WAPANGAJI WOTE NI WA ZAMANI ILA AKIINGIA MPANGAJI MPYA LWA SASA NI 150,000 KWA MWEZI.
PIA KUNA APARTMENT 2 ZINA WAPANGAJI KILA MOJA IMEPANGISHWA 400,000 KWA MWEZI NA ZINA WAPANGAJI WANAISHI.
NYUMBA KWA SASA INAINGIZA KODI KWA MWEZI ML 1,600,000.
PAKINGI GARI 4 NDOGO ZINAINGIA.
UKITENGENEZA FREM ZA KISASA NI 200,000 KWA MWEZI .
BEI ML 320 MAONGEZI KIDOGO YAPO
MMILIKI MMOJA NA INASOMA JINA LAKE.
#0719115274
#0624240778
#upendorealestateproperties🇹🇿