House for rent at Mbweni, Dar Es Salaam
STAND_ALONE INAPANGISHWA
IKO ~ DAR ES SALAAM-Tz
MAHALI - MBWENI UBUNGO
________________
KODI ~ TSH 1,500,000/=
KWA MWEZI
______________
NYUMBA YA FAMILIA
YENYE SIFA ZIFUATAZO
____________
Vyumba vitatu vyote self contained
Sebule kubwa pamoja na dinning
Jiko zuri la kisasa lenye space pamoja na makabati
Air condition , pamoja na feni
Makabati vyumbani
Jiko lenye makabati ya kisasa
Washing machine , standby-generetor
Maji ya kisima , maji ya dawasco
Jiko la nje, store
Choo cha nje
Electricity danced
Garden nzuri yenye kuvutia
Cctv camera Nk.
_________
bila kusahau ukilipia nyumba kuna malipo ya mwezi ya
______
Call & WhatsApp
0769318773 or 0789184940