House for Rent at Mbweni, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 80,000 per sqm
Project
Yes

MBWENI, MBWENI MALINDI

➡️ Eneo la Viwanja linaangalia barabara kubwa kabisa inayojengwa lami muda sio mrefu.

➡️ Hapa tumepima viwanja 8 tu na vyote vipo sehemu ambayo unatoka barabara kubwa unaingia ndani kwako hapo hapo.

➡️ Viwanja vimepimwa na vipo katikati ya maeneo ambayo yote yamepimwa na yamepangika vizuri, nadhan mbweni wengi mnaijua kwa kupangika.

➡️ Ukihitaji na hatimiliki utapatiwa baada ya kumaliza malipo kwa kuchangia gharama kidogo.

➡️ Viwanja vipo sehemu ambayo unapata upepo wa bahari vizuri sana.

➡️ Suala la miundombinu yote ipo hapohapo site sijui maji sijui umeme na majirani waliopangika na kujenga nyumba nzuri hapo hapo.

●●● Watu wa kujenga apartments hapa panawafaa pia tena sana maana kuna upepo wa bahari wa kutosha.

𝗕𝗘𝗜 𝗭𝗔 𝗩𝗜𝗪𝗔𝗡𝗝𝗔 𝗡𝗔 𝗨𝗞𝗨𝗕𝗪𝗔 𝗪𝗔𝗞𝗘

Hapa tunauza sqm 1 kwa 80,000/=. Yaani tunamaanisha ukiwa na 50MILIONI unapata kiwanja hapa ushuani kabisa.

Ukubwa wa viwanja umeanzia sqm 602 mpaka sqm 1500.

Inamaana ukihitaji kiwanja kikubwa zaidi unaruhusiwa kuunganisha viwanja viwili hadi vitatu ili mradi upate ukubwa unaotaka wewe.

Malipo ya hapa ni mkopo wa miezi 2, utaanza na 50% ya bei ya kiwanja halafu inayobaki utamaliza ndani ya miezi 2.

𝗨𝗠𝗕𝗔𝗟𝗜 𝗪𝗔 𝗣𝗥𝗢𝗝𝗘𝗖𝗧 𝗬𝗔 𝗩𝗜𝗪𝗔𝗡𝗝𝗔

Hakuna umbali wowote maana eneo limegusa barabara kubwa yaani mbweni road.

𝗞𝗪𝗔 𝗠𝗔𝗘𝗟𝗘𝗭𝗢 𝗭𝗔𝗜𝗗𝗜 𝗧𝗨𝗣𝗜𝗚𝗜𝗘 𝗡𝗔𝗠𝗕𝗔 𝗛𝗜𝗭𝗜
#0713132109 [Call and Whatsapp]
#0713132109 [Call and Whatsapp]

Kutembelea site ni kila siku pale mteja atakapohitaji kufika site na kujionea viwanja bila gharama yoyote ni muda wako tu mteja.

Mradi huu unauzwa na Sustainable Cities Company Limited na kampuni ndio imepima, inamiliki na yenye mamlaka ya kupauza hapa.

Tunajari wateja wetu.

Pia usisahau kutuFollow sustainablecities_company
sustainablecities_company sustainablecities_company

Fika ofisini kwetu 𝗧𝗘𝗩𝗜 𝗖𝗢𝗠𝗠𝗘𝗥𝗖𝗜𝗔𝗟 𝗣𝗔𝗥𝗞(𝗶𝗹𝗶𝗽𝗼 𝗡𝗕𝗖 𝗕𝗔𝗡𝗞), 𝗠𝗕𝗘𝗭𝗜 𝗕𝗘𝗔𝗖𝗛 𝗧𝗔𝗡𝗞𝗜 𝗕𝗢𝗩𝗨 - 𝗗𝗔𝗥 𝗘𝗦 𝗦𝗔𝗟𝗔𝗔𝗠.

sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI
sustainablecities_company
sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI

Similar items by location

3 Bedrooms House for Rent at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 1,000,000

#VYUMBA_VITATU INAPANGISHWAIKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI-MBWENI JKT______________KODI TSHS MIL 1,000,00...

3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 1,000,000

APARTMENT FOR RENT___________________________VYUMBA VITATU VYA KULALA𝖨𝖪𝖮 ~ 𝖣𝖠𝖱 𝖤𝖲 𝖲𝖠𝖫𝖠𝖠...

3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbweni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 600,000

#VYUMBA_VITATU _VYA_KULALA#INAPANGISHWA #APARTMENTIKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI- MBWENI UBUNGO———————...

Plot for sale at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 380,000,000

KIWANJA KINAUZWA Tsh MIL 380Eneo Sqm 1475Clean document Mbweni JktBlock 3Calls & whastap+255 7125...

Plot for sale at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 165,000,000

PLOT FOR SALE Tsh MIL 165SQM 600MBWENI JKT

Plot for sale at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 270,000,000

PLOT FOR SALE Tsh MIL 270SQM 1400MBWENI JKT

House for sale at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 370,000,000

NYUMBA INAUZWA Tsh MIL 370MBWENI MPIJIUKUBWA ENEO SQM 900DOCUMENT. ( TITLE DEED )——————————————#0712...

Plot for sale at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 270,000,000

KIWANJA KINAUZWA Tsh MIL 270SQM 1100KIWANJA KINA SEA VIEWKIPO MBWENI KILIMA HEWAUMILIKI ( TITLE DEED...

Plot for sale at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 165,000,000

KIWANJA KINAUZWA Tsh MIL 165SQM 600KIPO MBWENI JKTUMILIKI ( TITLE DEED )#MWEMBAMBA_REAL_ESTATETUPIGI...

Plot for sale at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 320,000,000

PLOT FOR SALE MBWENI JKT BLOCK 8SQM 852ML320HATI SAFI✅Contact call 07125316570789731695

5 Bedrooms House for Rent at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 2,000,000

Nyumba inapangishwa inajitegemea mbweni jkt bedroom's 5 self conteined sitting room dining room kitc...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

APARTMENT FOR RENT UFIKAKAJI NI MZURI KWA GARI YOYOTE MBWENI APC PALE PALE FIXED PRICE:500000Terms ...

2 Bedrooms House for Rent at Mbweni, Dar Es Salaam
  • By Installment

Sh. 800,000

#REPOST DALALIMBEZIBEACH_SEMBA  🏠 House for Rent – Mbweni📍 Location: Mbweni🛏️ Bedrooms• 2 Bedroom...

2 Bedrooms House for Rent at Mbweni, Dar Es Salaam
  • By Installment

Sh. 800,000

🏠 House for Rent – Mbweni📍 Location: Mbweni🛏️ Bedrooms • 2 Bedrooms (Includes 1 Self-Contained Ma...

3 Bedrooms House for Rent at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

📍NYUMBA NZURI SANA 🏘️🏡 INAJITEGEMEA INAPANGISHWA: IPO MBWENI UBUNGO (DAR ES SALAAM)INA VYUMBA VIT...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 1,000,000

#REPOST DALALIMBEZIBEACH_S  #VYUMBA_VIWILI _VYA_KULALA#INAPANGISHWA #APARTMENTIKO-DAR-ES-SALAAM TzMA...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbweni, Dar Es Salaam
  • By Installment

Sh. 1,000,000

🏡 Apartment for Rent – Mbweni, Dar es Salaam📍 Location: Mbweni – Just 1 minute from the main road�...

Plot for sale at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 620,000,000

Kiwanja Kinauzwa Location: Mbweni JKTKiwanja kina Sqm 3,000BEI; Million 620ml Maongezi yapo Kiwanja ...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

📍NYUMBA NZURI SANA 🏡🏘️ APARTMENT INAPANGISHWA: IPO MBWENI MPIJI (DAR ES SALAAM)INA VYUMBA VIWILI...

5 Bedrooms House for Rent at Mbweni, Dar Es Salaam

$ 1,500 per month

HOUSE FOR RENT 5BEDROOMS LOCATED AT MBWENI JKTBIG SERVANT QUARTERUsd 1500 per monthContact call 0712...