House for rent at Mikocheni, Dar Es Salaam


House Of Two Bedrooms, Sebule na Jiko 700kš
Specifications:-
⢠Nyumba ipo Maeneo ya Mikocheni Bš
⢠Nyumba ina Vyumba viwili Chumba Kimoja Ni Master bedroom
⢠Jiko Lake Zuri Kabisa
⢠Fence Na Parking Ni Ya Uhakika
⢠Ipo Karibu Sana Na Barabara
Payment Conditions:-
⢠Kodi ya Nyumba Kwa Mwezi ni 700kā
⢠Malipo Ya Kodi ni ya Miezi Sita (6)
Service Fee:-
⢠Gharama Za Kuona Nyumba Ni 20k (Inalipiwa Mara Moja
Hadi Utakapopata Nyumba)
⢠Gharama Za Dalali Ni Mwezi Mmoja wa Kodi Ya Nyumba ambayo Hulipwa Na Mpangaji Tofauti Na Kodi
Contact:
⢠0744701813 Normal/WhatsAppš²