House for rent at Mikocheni, Dar Es Salaam


Nyumba inapangishwa MIKOCHENI B
STAND ALONE
NYUMBA INA VYUMBA VITATU VYA KULALA NA KIMOJA NI
MASTER BEDROOM
Dining room
Jiko la kisasa
Public toilet
Luku
Maji yana flow ndani
Full tilles & gypsum
Servant quarter
Parking yakutosha
Kodi 1,500,000/= kwa mwezi mmoja, Malipo miezi 6
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820
0685221354
Wote mnakalibishwa
Mr. Sparrow