House for Rent at Mjini, Ruvuma


Inauzwa
Hujawahi kufikiria kuwekeza kwenye nyumba za kupangisha..!?
Basi kitu kikubwa cha kwanza ukitaka kufanya biashara ya nyumba za kupangisha LOCATION na ukaribu wa mzunguko wa mjini
Hızo ni sehemu ambazo ukiwajengea kisasa basi kodi zitakuwa 🔥🔥 watalipa Bila shida mradi usiwe bahiri kwenye finishing.
-ukijenga kisasa kwa sinza nyumba ya vyumba viwil ni mpaka 900,000 kwa mwezi " na chumba sebule choo jiko ni 600,000
_ubaya ubwela _ kuwahi
Nb ukipata bahati ya kushika pesa jitahidi kuiwekea mifumo
Kuja kukagua 40000tzs
#dalalisoso