House for rent at Mjini, Ruvuma


APARTMENT NZURI SANA ZINAPANGISHWA
-MNAOPENDA KUKAA MJINI
MAHALI-TOWN KABISA
MUUNDO
~~Vyumba V2 vya kulalaa (01 MASTER)
~~sebule kubwa
~~Store
~~jiko zuri
~~Public toilet
HUDUMA
-CCTV CAMERA
-FULL AC
-SECURITY FENCE
-HEATER BAFUNI
~~Maji yapo muda wote
~~Umeme upo unajitegemea
~~Parking space kubwa
~~iko ndani ya fence
~~usalama wa kutosha
MALIPO
~Bei ni 400,000 @ mwezi
~Muda wa malipo miez 6+
NB; MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA..ATALIPIA MTEJA