House for rent at Mjini, Ruvuma


MGAHAWA UNA UZWA NA KILA KITU CHAKE CHA NDANI.
UPO MJINI POSTA
Mgahawa upo mjini posta
jamaa sio mtanzania anataka kurudi kwao
kwa hiyo anatafuta mteja aje waongee amuachie vitu vyote vya mgahawani
na fremu kodi 1,400,000 kwa mwezi
anakukabizi kwa mwenye nyumba
Baada kuelewana
basi yeye ata ondoka na nguo zake tu alizo vaa
KARIBU MTEJA
SIO PA KUPAKOSA HAPA
0718 12 41 09