House for Rent at Mjini, Ruvuma







KODI 80,000/= X 6
÷÷÷÷
APATIMENTI ZIPO KWA MSUGURI
====
KAMA UNATOKA MJINI KULIA
KUTEMBEA DAKIKA 20
BODA BODA 1000
BAJAJI 700
====
SIFA NYUMBA
CHUMBA MASTA KIKUBWA SANA
MAJI NDANI UMEME WAKE
====
MAZINGIRA MAZURI SANA
KUPELEKWA KUONA 15000
UKILIPA DALALI UNAMLIPA KODI YA MWEZI MMOJA
=====
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI