House for rent at Mjini, Ruvuma


🇹🇿INAPANGISHWA APARTMENT CLASSIC
🇹🇿MAHALI: KISASA JIRANI NA MJINI
________________________________________
MUUNDO WA NYUMBA
🇹🇿VYUMBA VITATU VYA KULALA
🇹🇿KIMOJA NI MASTER
🇹🇿SEBULE
🇹🇿JIKO
🇹🇿DINING
🇹🇿PAKUWAHI SANA
-----------------------------
HUDUMA
🇹🇿UMEME UPO HUSHEI
🇹🇿MAJI
🇹🇿FENSI
🇹🇿WATER RESERVE TANKS
-----------------------------
🇹🇿KODI NI 700,000/= MWEZI [MALIPO NI KUANZIA MIEZI 6]
🇹🇿PAMOJA NA MWEZI MMOJA WA DALALI UNALIPA MTEJA NJE YA KODI YA NYUMBA
-----------------------------
🇹🇿GHARAMA ZA KWENDA SITE NI 10,000
---------------------------------------
MAWASILIANO
🇹🇿0625002123------WHATSAPP
🇹🇿0689734910------ CALLS
-----------------------------------------
KARIBUNI SANA