House for Rent at Mjini, Ruvuma


KIWANJA KIZURI SANA KIKUBWA KINAUZWA ENEO HILI LA MICHESE ZC
UKUBWA WA KIWANJA NI SAM 1300
MATUMIZI YA ENEO HILI NI MAKAZI
ENEO HILI TAYARI LIMEPIMWA NA LINA HATI YA MIAKA 99
BEI YA KIWANJA NI 29.5m
UMBALI WA KUTOKA MJINI NI KM 6 ADI KM 7
ENEO TAYARI LIMEJENGEKA SANA NA LINA UDUMA ZOTE MUHIMU
UNAWEZA KUJENGA NYUMBA YA KUISHI
UNAWEZA KUJENGA NYUMBA ZA KUPANGISHA KWASABU HITAJI NI KUBWA SANA KWA ENEO HILI
ENEO HILI LA MICHESE LIMEPAKANA NA MAENEO MAKUU MATATU
1)KINYABWA EXTENSION
2)ITEGA YA MAGHOROFA
3)CHIDACHI
NK
NI MOJA YA MAENEO SAHIHI SANA KWAJILI YA MAKAZI AU BIASHARA KWANI LIPO KARIBU NA MJINI NA NI RAHISI KUTOKA NA KUINGIA
TUNAKUKARIBISHA SANA HAPA MICHESE KWA UWEKEZAJI WA MANUFAA
TUNAPATIKANA DODOMA MJINI MTAA WA UHINDINI MKBALA NA WIZARA YA UJENZI UCHUKUZI
0745209984