House for rent at Mkolani, Mwanza


🗣️ NYUMBA MPYAA INAPANGISHWA+MKOLANI MWANZA.
👉 Ina vyumba viwili vya kulala
👉 Chumba kimoja ni self
👉 Sebule
👉 Jiko
👉 Public Toilet
👉 Air Condition
👉 Inajitegemea umeme
Kwa Mwaka Mil 3
Malipo kuanzia Miezi sita
Call Or WhatsApp: 0765430905