House for Rent at Mkwajuni, Songwe







Mkwajuni, Songwe, Songwe
5 days ago
Sh. 350,000
INAPANGISHWA IPO MATOSA (MKWAJUNI) UKISHUKA BAJAJI AU DALADALA ZA KIMARA UNATEMBEA DK 6
HII NYUMBA UNAWEZA KUPITIA KIMARA AU TEMBONI KOTE USAFIRI UPO WAKUTOSHA
SEBULE KUBWA SANA
DINNING ROOM
VYUMBA V3 VIKUBWA VYA KULALA
VYAKULALA KIMOJA MASTER
JIKO KUBWA ZURI
PUBLIC TOILET NZURI
TIRES,GYPSUM Na SLIDE WINDOWS
MAJI YANATOKA CHOONI NA JIKONI
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
IPO NDANI YA FENCE
FULL PAVING Blocks
NDANI YA FENCE ZIPO NYUMBA MBILI
KODI 350,000 × 6
CONTACT US
0688 067 289
0714 418 005 Whatsap