House for rent at Moshono, Arusha


Inapangishwa moshono suye arusha
Ni nyumba yenye room tatu za kulala moja master
Ina jiko lenye makabati
Ina sebule kubwa na dairning
Ina public toilet
Ina parking
Inajitegemeaa
Bei 350000/=kwa mwez
Kodi ilipwe miez sita
Call 0758105801/0693412119