House for rent at Moshono, Arusha


Inapangishwa chekereni arusha chini ya moshono.
Ni nyumba inajitegemea
Ni nyumba yenye room tatu za kulala moja master
Ina makabati vyumbani
Ina jiko
Ina sebule na dairning
Ina public toilet
Ina parking
Bei 300,000/=kwa mwez
Call 0758105801/0693412119