House for rent at Moshono, Arusha


Inapangishwa moshono kona arusha
Ni nyumba mpyaaaaah
⚜️Ni chumba kimojaa cha kulala
⚜️Ina jiko lenye makabati
⚜️Ina sebule kubwa sana
⚜️Ina choo ndani
⚜️Ina heater ya maji moto
⚜️Ina parking
⚜️umeme unajitegemea
♻️Bei 200,000/=kwa mwez kw nyumba ndogo
♻️bei 250,000/=kwa mwez kwa nyumba kumbwa
🏷Call 0758105801/0693412119