House for rent at Moshono, Arusha


Dabo self ina pangishwa jijin arusha moshono kona ni chumba seble jiko na choo nyumba mpya wapo wapangaji wa tatu getin bei 300000 kwa mwezi kutoka barabara ya lami mita 80 kwa mwiitaji piga number 0784457400/0753503791