House for rent at Moshono, Arusha


Inapangishwa moshono laizer arusha
⚜️Ni nyumba yenye room tatu za kulala room moja master
⚜️Ina makabati vyumbani.
⚜️Ina sebulee kubwa na dairning
⚜️Ina jiko lenye makabat
⚜️Ina public toilet na bathroom
⚜️Ina heater ya maji moto
⚜️Ina parking
⚜️inajitegemea
⚜️ina servant cotter
♻️Bei ni 600,000/= kwa mwez
🔹️kodi ilipwe miezi sitaa
🏷Call 0758105801/0693412119