House for rent at Msingi, Singida
Nyumba ipo vzuri sana ni nyumba ya kisasa kabisa ina uzwa bei ya kutupa sana tsh million 60 tu
Nyumba ina vyumba 9 vya kulala ina wapangaji yote wana lipa tsh 50000 kwa kila chumba kimoja kwa mwezi mmoja
Nyumba ipo jilani kabisa na stendy
Na ipo jilani kabisa na shule ya msingi ya nzasa pia ime pakana na hospital ya kiramba ya serikali
Ukitaji maelekezo zaidi nipigie cm au nichek Whatsapp 0652618143. 0759203175