House for Rent at Mwananyamala, Dar Es Salaam


NYUMBA INAUZWA MWANANYAMALA B - TSH 83 MILIONI
👉 Mfumo wa kupangisha wenye uhakika wa kipato!
• Nyumba inayo wapangaji wawili wanaolipa kila mmoja Tsh 400,000 kwa mwezi.
• Ipo nyumba ya pili kutoka barabarani kuu, eneo tulivu na lenye usalama.
• Ina chumba, sebule, jiko na choo kwa kila mpangaji.
• Nyumba hii ni fursa bora ya uwekezaji kwa wanaotafuta kipato cha kila mwezi.
• Hali ya nyumba ni nzuri na imara, haijahitaji marekebisho makubwa.
🚗 Gari haifiki moja kwa moja lakini ni umbali mfupi sana kutoka barabarani.
💵 Gharama ya kukagua ni Tsh 50,000 tu. Usikose nafasi hii!
#NyumbaInauzwaDar #FursaYaUwekezaji #MwananyamalaRealEstate #NyumbaZaWapangaji #RealEstateTanzania #UwekezajiMzuri #SoshoRealEstate#fensed #dalalisoso