House for Rent at Nkuhungu, Dodoma


APPARTMENTS ZINAUZWA BEI YA KUTUPA-KUSANYA 1,320,000@mwezi(ZINA WAPANGAJI TAYARI WEWE UNAENDELEA NAO)
______
MAHALI-NKUHUNGU (KARIBU NA KITUO CHA DALADALA)
______
UMBALI TOKA BARABARA YA LAMI-MITA 100
______
-ZIKO APPARTMENTS 06 KWENYE COMPOUND MOJA
______
MUUNDO WA KILA APPARTMENT
-MASTA
-SEBULE
-JIKO
_______
HUDUMA
-MAJI YAPO
-UMEME KILA APPARTMENT INAJITEGEMEA
_______
NYUMBA HIZI ZINA WAPANGAJI (KILA MMOJA ANALIPA 220,000 KWA MWEZI)
________
KIWANJA-450Sqm
________
DOCUMENT-HATI
_______
BEI-99M TU (FIXED)
_______
GHARAMA ZA KWENDA KUONA-BURE
_______