House for rent at Nkuhungu, Dodoma


⛔️IMERUDI SOKONI MOJA
APARTMENT KALI SANA MPYAA
_____________________________________
MAHALI … NKUHUNGU BODA
___________________________
MUUNDO
—MASTER +SEBULE+JIKO
—Jiko zuri sana
HUDUMA
—Ipo ndani ya fence
—umeme na maji vipo
— UNAJITEFEMEA UMEME
—pazur sana kma unavoona
BEI— 200,000@month
Muda wa malipo miez 03+
Malipo ya dalali ni mwezi mmoja atalipa mteja
Gharama za kwenda site 10,000/=
MAWASILIANO
0782165255