House for Rent at Nkuhungu, Dodoma


APARTMENT KALI SANA MPYAA๐ด
____________________
๐MAHALI- NKUHUNGU
___________________________
MUUNDO
โMASTER +SEBULE+JIKO
โPazuri sana
โPAKUBWAA
_________________________
HUDUMA
โMOTOR GATE
โELECTRIC FENCE
โHEATERS BAFUNI
โIpo ndani ya fence
โumeme na maji vipo
โ UNAJITEFEMEA UMEME NA MAJI
โpazur sana kma unavoona
____________________________
๐ฐBEIโ 300,000@month
-MUDA WA MALIPO MIEZ 06+
Malipo ya dalali ni mwezi mmoja atalipa mteja
Gharama za kwenda site 10k