House for rent at Nzuguni, Dodoma


APARTMENT NZURI SANAAA INAPANGISHWA MPYAAπ±
πMAHALI- NZUGUNI ZIMETAZAMA LAMI
πͺ MUUNDO
~~Vyumba V2 vya kulalaa (01 MASTER)
~~sebule kubwa
~~Store
~~jiko zuri
~~Public toilet
______________________________
HUDUMA
~~Maji yapo muda wote
~~Umeme upo unajitegemea
~~Parking space kubwa
~~iko ndani ya fence
~~usalama wa kutosha
______________________________
π°MALIPO
~Bei ni 300,000 @ mwezi
~Muda wa malipo miez 3+
______________________________
NB; MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA..ATALIPIA MTEJAπ
MAWASILIANO
0782165255