House for rent at Nzuguni, Dodoma


NYUMBA NZURI SANAAA INAPANGISHWA 🌱
- PEKEAKE KWENYE FENCE
📍MAHALI- NZUGUNI
🚪 MUUNDO
~~Vyumba V4 vya kulalaa (03 MASTER)
~~sebule kubwa
—Dining
~~Store
~~jiko zuri
~~Public toilet
✅PIA INA SERVANT KOTA YA CHUMBA MASTER NA JIKO KUBWA SANA
______________________________
HUDUMA
—FULL AC
—FENI
—SECURITY FENCE
—HEATER BAFUNI
~~Maji yapo muda wote
~~Umeme upo unajitegemea
~~Parking space kubwa
~~iko ndani ya fence
~~usalama wa kutosha
______________________________
💰MALIPO
~Bei ni 1,000,000 @ mwezi
~Muda wa malipo miez 6+
______________________________
NB; MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA..ATALIPIA MTEJA😎
☎️ MAWASILIANO
+255627262930 call/ wtsp
🏃♂️Gharama za kwenda site ni 10,000#