House for Rent at Pugu, Dar Es Salaam
NYUMBA INAPANGISHWA
KUNA CHUMBA MASTER, SEBULE NA JIKO. UMEME INAJITEGEMEA MAJI YAPO YA DAWASA.
NYUMBA IPO NDANI YA FENSI.
KODI: 120000 KWA MWEZI, MALIPO KWANZIA MIEZI MITATU.
LOCATION: PUGU KONA MATAA.
CONTACT: 0692423138 / 0719115949.