House for Rent at Pugu, Dar Es Salaam







INAPANGISHWA (NYUMBA NI MPYAAA)
IKO NDANI YA FENSI, INA CHUMBA MASTER, SEBULE NA JIKO. UMEME INAJITEGEMEA, MAJI DAWASA YANATOKA CHOONI NA JIKONI.
LOCATION: PUGU KINYAMWEZI..
KODI: 130000 KWA MWEZI, MALIPO MIEZI 6 AT LEAST 5.
MALIPO YA DALALI 130000, SERVICE CHARGE 10000 KAMA NYUMBA HULIPII HAPO HAPO.
CONTACT: 0760053111
0614130017