House for Rent at Pugu, Dar Es Salaam






NYUMBA INAPANGISHWA
INA CHUMBA MASTER NA SEBULE. NYUMBA IKO NDANI YA FENSI.
MITA YA UMEME INAJITEGEMEA MAJI YAPO MASAA 24, YANATOKA NDANI.
LOCATION: PUGU KWA MUSTAFA
KODI 120000 KWA MWEZI, MALIPO KWANZIA MIEZI MITATU.