House for Rent at Pugu, Dar Es Salaam
CHUMBA MASTER NA JIKO KINAPANGISHWA
CHUMBA KIPO NDANI YA FENSI, MAJI NI BUREEE YANATOKA JIKONI NA CHOONI.. MITA YA UMEME UNAJITEGEMEA MWENYEWE.
KODI: 90000 KWA MWEZI, MALIPO KWANZIA MIEZI MINNE..
LOCATION: PUGU KWA MUSTAFA.
CONTACT: 0692423138 / 0719115949.