House for Rent at Pugu, Dar Es Salaam
NYUMBA INAPANGISHWA, HAPA WAPO WAPANGAJI WAWILI TUUU NDANI YA FENSI.
(UKICHELEWA IMEENDA)
KUNA CHUMBA MASTER NA SEBULE NA SEHEMU YA KUPIKIA, FENI SEBULENI NA CHUMBANI, NNJE KUNA KALO LA KUOSHEA VYOMBO NA CHOO CHA PUBLIC KIKO NNJE. HAPA UMEME MITA KILA MTU YAKWAKE NA MAJI MITA KILA MTU YAKWAKE.
LOCATION: PUGU KINYAMWEZI.. DK 3 UPO KWENYE NYUMBA.
KODI: 120000 KWA MWEZI.. MALIPO KWANZIA MIEZI MINNE.
CALL: 0692423138 / 0719115949.