House for Rent at Pugu, Dar Es Salaam
NYUMBA INAPANGISHWA
INA CHUMBA, SEBULE, JIKO NA CHOO.
FENI SEBULENI NA CHUMBANI, NYUMBA IKO KWENYE UTULIVU. INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI.
KODI: 150000 KWA MWEZI.. MALIPO KWANZIA MIEZI MITATU.
LOCATION: PUGU, KITUO SHULE YA MSINGI.
CONTACT: 0692423138 / 0719115949.