House for Rent at Pugu, Dar Es Salaam
WALE WANAOPENDA NYUMBA MPYAAA HII HAPA ππ
HAPA KUNA CHUMBA MASTER, SEBULE NA JIKO FENI SEBULENI NA CHUMBANI. NYUMBA ZIKO TATU TU KWENYE FENSI. TENKI LIPO WANASHEA WAWILI TU.
MAJI NA UMEME MITA INAJITEGEMEA YENYEWE.
KODI: 130000 KWA MWEZI.. MALIPO KWANZIA MIEZI MINNE.
LOCATION: PUGU KINYAMWEZI, KITUO MAPRESHEN.
CONTACT: 0692423138 / 0719115949.