House for Rent at Pugu, Dar Es Salaam
NYUMBA INAPANGISHWA
INA CHUMBA MASTER NA SEBULE
MAJI MITA INAJITEGEMEA NA UMEME MITA YAKUJITEGEMEA. MAJI ANATOKA CHOONI PIA KUNA RESERVE TANK.
LOCATION: PUGU, KITUO KINYAMWEZI.
KODI: 100000 KWA MWEZI.. MALIPO KWANZIA MIEZI 3.
CONTACT: 0788156493 0614130017 0760053111