House for Rent at Pugu, Dar Es Salaam
INAPANGISHWA (IKO YENYEWE KWENYE FENSI)
INA CHUMBA MASTER, SEBULE, JIKO TENKI LAKE MAJI MASAA 24 YANATOKA NDANI KOTE. NYUMBA ITAKUWA WAZI KUINGIA MPANGAJI MWISHO WA MWEZI HUU.
KODI: 160000 KWA MWEZI, MALIPO MIEZI 6.
LOCATION: PUGU KWA MUSTAFA
CONTACT: 0692423138 / 0719115949.