House for Rent at Pugu, Dar Es Salaam
WALE MNAOPENDA KUKAA WENYEWE KWENYE FENSI.. HII NI YENU π
HAPA KUNA CHUMBA, SEBULE, CHOO CHA NDANI, JIKO NA FENI SEBULENI NA CHUMBANI. NYUMBA IKO YENYEWE KWENYE FENSI, UNAKAA PEKE YAKO.
MAJI NA UMEME MITA INAJITEGEMEA YENYEWE.
KODI: 130000 KWA MWEZI.. MALIPO KWANZIA MIEZI MITATU.
LOCATION: PUGU, KITUO KWA RAIS.
CONTACT: 0692423138 / 0719115949.